Wednesday, August 14, 2013

KWA WALE WANAOHITAJI KUPUNGUZA MIILI...NJIA HII NI NZURI NA HAINA MADHARA ..MASTER CLEANSE...

Hii ni kwa wale wanaohitaji kupunguza miili yao..
Kila Asubuhi kabla ya kula chochote unatakiwa unywe maji ya uvuguvugu yenye chumvi..kila glass 1 unaweka chumvi kijiko 1..unaweza ukanywa glass 1 mpka 3 kwa kila asubuhi...Hii inasafisha sana tumbo na utaona matokeo(Pia unashauriwa baada ya kunywa hayo maji yaenye chumvi..usiwe mbali na choo)

Baada ya hapo unatengeneza juice ya vitu vifuatavyo;
Maji ya uvuguuvugu au hta ya baridi litre 1
Malimao 2
Maple syrup vijiko 2..inapatikana shoppers plaza
Cayenne pepper vijiko 2..inaptikana madukan
Unaweka hivyo vitu vyote na ndio inakuwa juice yako kwa kila siku ila unashauriwa pia upunguze kiasi cha chakula...na upendelee kula matunda sana na mboga za majani


No comments: