Tuesday, July 9, 2013

SINGO YA REGINA MOSHA @ K-NYAMA!!!

SOURCE;MASHUGHULI BLOG

PAMBE YA SOMO MWAVITA WAKUMUINGIZA BI ARUSI BAADA YA FUNDO YA MUDA MFUPI, LAKINI MAMBO YAMEKUBALI NA NYONGA IMELAINIKA, REGINA BI ARUSI MTOTO WA KICHAGA ANASEMA UCHAGA MWISHO CHALINZE MJINI WOTE WAZARAMU SONGA NDANI

 MWARI AKIFICHULIWA
DECOR.....
 SOMO AKITUONYESHA NYONGA YA REGINA ILIVYOLAINIKA
 HAPANA CHEZEYA SOMO MWAVITA NYONGA IMELAINIKA
 MWARI NA SOMO WAKICHEZA
BAADA YA MWARI KUTUONYESHA NYONGA IKO VIPI, REGINA ALIBADILI NGUO
 BI ARUSI REGINA MOSHA..!!!

KIBAO KATA
 SOMO NA PAMBE YAKE ILIKUWA BALAA TUPUUU, HAPANA CHEZEYA TOTOS ZA MIGOMIGO
NYUSO

ERICA AKIWA BA DADA YAKE BI ARUSI REGINA
 ERICA & SOMO MWAMIVITA
 ERICA & FRIENDS
NIMEPENDA BLONDE HAIRSTYLE
RAYA & HIDAYA
RED CARPET

No comments: