Thursday, June 6, 2013

MAZISHI YA MSANII ALBERT MANGWEA NYUMBANI KWAO MOROGORO.

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI..AAMIN

Huyu ndio mama mzazi wa marehemu Albert Mangwea (Picha na Global Publisher)


Hapa ndipo mwili wa msanii NGWEA ulipopumzishwa.


Msanii M2THE P ambaye alikuwa na marehemu Ngwea kabla ya kifo chake huko Afrika ya kusini, akilia kwa uchungu katika mazishi ya msanii Albert Mangwea huko Morogoro.

No comments: