Sunday, June 9, 2013

AAAAAWWW!!!!FEZA WA TANZANIA ANUSURIKA KUYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER AFRICA 2013(THE CHASE)..


Mtanzania Feza Kessy amenusurika kutoka katika mashindano ya Big Brother Africa 2013 (The Chase) baada ya kuwa nominated jumatatu iliyopita...Kura za watanazania na nchi za Africa Magharibi ndio zilizomuokoa Feza..Feza na Nando ambao wanaiwakilisha Tanzania wataendelea kuwepo mjengoni

Walioyaaga mashindano hayo ni Keketso kutoka South Africa pamoja na LK4 kutoka Uganda..

No comments: