Thursday, May 30, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA WASANII KATIKA KUCHANGISHA PESA ZA MSIBA WA ALBERT MANGWEA HAPO JANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB


Source;Bongo 5
Wasanii, wadau na wa muziki wa kizazi kipya pamoja na baadhi ya ndugu wa marehemu Albert Mangwea jioni ya jana  walikutana kwenye viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuchangishana fedha kusaidia shughuli za mazishi za rapper huyo aliyefariki jijini Johanessburg Afrika Kusini.
IMG_1317
Katika mkutano huo, kamati maalum imeundwa na inaongozwa na muongozaji wa video za muziki, Adam Juma, producer wa Bongo Records P-Funk Majani, Profesa Jay, Lady Jaydee, Jay Moe, Nooran na Maze B. Wengini ni pamoja na Mchizi Mox na TID. Pia Noorah amechaguliwa kuwa mweka hazina wa fedha hizo za mchango.
IMG_1345
IMG_1340
IMG_1335
IMG_1330
IMG_1322
IMG_1317
IMG_1453
IMG_1447
IMG_1444
IMG_1435
IMG_1426
IMG_1424
IMG_1420
IMG_1418
IMG_1416
IMG_1412
IMG_1410
IMG_1403
IMG_1399
IMG_1397
IMG_1396
IMG_1395
IMG_1394
IMG_1393
IMG_1392
IMG_1391
IMG_1390
IMG_1389
IMG_1387
IMG_1386
IMG_1383
IMG_1382
IMG_1381
IMG_1377
IMG_1375
IMG_1358
IMG_1356
IMG_1355
IMG_1352
IMG_1349
IMG_1347
IMG_1377
IMG_1375
IMG_1335
IMG_1331
IMG_1330
IMG_1323
IMG_1322
IMG_1320
IMG_1318
IMG_1317
IMG_1387
IMG_1360

No comments: