Tuesday, May 28, 2013

MUNGU AILAZE ROHO YA ALBERT MANGWEA MAHALA PEMA PEPONI..AAMIN

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka East Africa Radio n Television ni kwamba msanii wa Bongo Fleva,Albert Mangwea amefariki dunia leo hii nchini Africa ya kusini...tutaendelea kuwaletea habari zaidi kuhusu kifo cha msanii huyo...
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi..AaminNo comments: