Sunday, May 26, 2013

FEZZA KESSY NA AMMY NANDO WAIWAKILISHA TANZANIA KWENYE SHINDANO LA BIG BROTHER -THE CHASE 2013

Feza Kessy
Ammy Nando


IMG_0156
 Pichani  juu na chini ni Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini likitoa burudani wakati wa uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase iliyorushwa Live na Channel za DStv 197 na 198 jijini Johannesburg usiku wa jana. Shindano la Big Brother-The Chase limedhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.
IMG_0154
IMG_0182
MC wa shindano la Big Brother The Chase IK akisherehesha wakati wa uzinduzi huo.
IMG_0140
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika kushuhudia Live uzinduzi huo.
IMG_0209
Mwakilishi kutoka Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa  kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo.Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo.
IMG_0226
Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu  mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik.
IMG_0231
Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa Shindano la Big Brother The Chase lililozinduliwa rasmi jana jijini Johannesburg Afrika Kusini ambapo washiriki watakaa ndani ya jumba hilo kwa siku 90 na mshindi kujinyakulia kitita cha Usd 300,000. Kulia ni Fedha Kessy mshiriki kutoka Tanzania.
IMG_0235
Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Fedha Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa shindano hilo jana jijini Johannesburg.
IMG_0108
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliopata mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa shindano hilo Live kutoka Kampuni ya Multichoice Africa. Wa pili kulia ni Operations Manager wa Mo Blog Zainul Mzige aliyeiwakilisha Tanzania.
IMG_0081
Kutoka kushoto ni Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini  Munya, Buhle na Thato kutoka Ofisi za Multichoice Afrika Kusini wakishow love back stage wakati wa uzinduzi wa shindano la Big Brother The Chase.
IMG_0083
Wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali mbele ya camera yetu.
IMG_0098
Mini Bar iliyondaliwa maalum kwa wageni waalikwa.
IMG_0220
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa burudani huku akipewa sapoti na Manager wake.
IMG_0218
IMG_0173
Wageni waalikwa walipata muda wa kumuenzi na kumkumbuka Mwakilishi wa shindano la Big Brother ya Mwaka jana kutoka Nigeria marehemu Goldie. Pichani ni baadhi ya matukio mbalimbali ya marehemu Goldie yaliyokuwa yakirushwa Live wakati wa uzinduzi huo.

No comments: