Monday, April 8, 2013

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA TANGU KUFARIKI KWA STEVEN KANUMBA

source..Jestina George

Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba
Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo
O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu.

Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua
Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,
R.I.P Steven Kanumba

No comments: