Thursday, April 4, 2013

HII NDIYO TATTOO ALIYOCHORA KAJALA KAMA SHUKRANI KWA WEMA SEPETU


Kajala ameamua kuchora Tattoo yenye jina la WEMA mgongoni mwakehii ikiwa kama ishara ya shukrani kwa rafiki yake Wema Sepetu baada ya kumtolea faini ya tsh..milioni 13.

 
 

No comments: