Thursday, February 14, 2013

MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA SHEKH NASSOR BACHU...!!!

source..Jestina George Blog

MUNGU AILAZE ROHO YA SHEIKH NASSORO BACHU MAHALA PEMA PEPONI ..AAMIN..

Sheikh Nassor Alisaliwa katika Viwanja Vya Maisara na Kuzikwa kijijini kwao Donge
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi Akishuhudia Jeneza la Sheikh Nasssor Bachu

Kutokana na watu kuwa wengi sala ya maiti ilifanywa kwenye viwanja vya Maisara na sio msikiti wa kikwajuni kama ilivyotangazwa hapo mwanzo.
Mwenyezi Mungu Amuweke marehemu mahala pema peponi Ameen.

No comments: