Monday, December 10, 2012

RAY C AMSHUKURU RAIS JAKAYA KWA MSAADA WA MATIBABU!

Ray C, jna mchana alifika Ikulu ya Dar-Es-Salaam kumshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa msaada mkubwa wa matibabu yake ambayo yanafanyika jijini Dar-Es-Salaam chini ya uangalizi maalumJana mchana 

Ray C alifika Ikulu akiongozana na mama yake mzazi Bibi Margareth Mtweve ambaye pia amemshukuru Rais Kikwete kwa msaada huo mkubwa ambao umesaidia kurudisha hali ya kawaida ya Ray C.
Tunakuombea upone vizur kabisa Ray C.

No comments: