Saturday, December 22, 2012

MTANZANIA JOCELYNE MARO..AVIKWA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012

source:michuzi
Mrembo wa Afrika Mashariki 2012  (Tanzania),Jocelyne Maro (katikati) akiwa na mshindi wa pili (Uganda),Ayisha Nagudi pamoja na Mshindi wa tatu (Burundi),Ariella Kwizera
Mrembo wa Afrika Mashariki 2012  (Tanzania),Jocelyne Maro akiwa na washindi wenzake alioingia nao hatua ya tano bora katika Shindano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
Warembo walioingia hatua ya kumi bora.
 Mrembo wa Afrika Mashariki 2012  (Tanzania),Jocelyne Maro akipungia mkono mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Shindano hilo
  ahhhaaa...siamin
Warembo wakipita na vazi la Ufukweli...
 Muandaaji wa Shingano la Miss East Africa nchini Tanzania,Rena Calist akitangaza majina ya washindi wawili walioingia hatua ya tatu bora.

Majaji wakijadiliana jambo wakati wa hatua ya kumi bora.
 Burudani kutoka kwa Mzungu Kichaa. 
 Burudani kutoka kwa Mad Ice. 
MC Geitano akitoa maelekezo wa washiriki walioingia hatua ya tano bora.
 

No comments: