Wednesday, December 12, 2012

JUDITH KITCHEN PARTY

 BRIDE: JUDITH RUGE
VENUE: MBEZI BEACH PARK
COLOUR; GREEN N' ORANGE
JUMAPILI YA TAR 9/12/2012...ILIKUA NI SKU YA FURAHA KWA WATU WOTE TULIOUDHURIA KITCHEN PARTY YA RAFIKI YANGU AMBAYE NI KMA DADA YANGU..JUDITH RUGE...
DADA NAKUOMBEA KWA ALLAH NDOA YAKO IWE ILIYOJAA FURAHA,AMANI NA UPENDO..
MUNGU AKUBARIKI JUDITH RUGE.
MUCH MUCH LV KWAKO!

No comments: