Wednesday, November 28, 2012

HIVI NDIVYO ALIVYOPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE NDUGU YETU HUSSEIN RAMADHANI....SHARO MILLIONEA.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA HUSSEIN RAMADHANI MKIETI MAHALA PEMA PEPONI..AAMIN

Source;This is Diamond

Ni baadhi tu ya umati wa watu walioudhuria Kaburini hapo ila watu walikuwa wengi sana
kiasi kwamba hata nafasi ya kupiga picha ilikosekana
na kupelekea kusubiri hadi mazishi kumalizika.

Hili ndio Kaburi alilopumzika Ndugu,Rafiki,Kipenzi chetu Sharo Milionea.

Hawa ni wasanii waliokuwa wa karibu na Sharo Milionea
wakiangua kilio baada ya kuuona mwili wa Marehemu
Hili ni gari lililoleta Mwili wa Marehemu nyumbani hapo...
Mwili wa Marehemu ukiingizwa ndani.
Wastara ambaye ni Mke wa Sajuki akiwa katika hali ya uzuni....
Visent Kigosi (Ray) Baada ya kuwasili kutoka Hospitali ulipokuwa mwili wa Marehemu.
Hii ni sehemu maalumu iliyoteuliwa kukaa wasanii wa Filamu.
Nisha pembeni ni Florah Mvungi
Msanii wa Filamu Mainda
Hawa ni baadhi tu ya watu waliopoteza fahamu baada ya Mwili wa Marehemu
Sharo milionea kuwasilishwa nyumbani hapo.
Kiongozi toka Serikalini akitoa maelekezo kwa watu waliofika mahali hapo....Msanii aliyekuwa Rafiki kipenzi wa Sharo (Kitale) akiangua kilio Mochwari

Mama Mkubwa wa Sharo Milionea akilia kwa uchungu...Mjomba wa Marehemu Sharo Milionea akimwaga machozi...Ndende
Eneo la Hospitali Teule ya Muheza ulipohifadhiwa mwili wa marehemu

No comments: