Wednesday, October 10, 2012

WAREMBO MISS TANZANIA WATEMBELEA BONDE LA HIFADHI YA NGORONGORO

    source: father kidevu
WAREMBO wanaoshirikishindano la Redds Miss Tanzania 2012 leo walitembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kujionea vitu mbalimbali katika bonde hilo ambalo lina mambo mengi ya ajabu miongoni mwa hifadhi.
Mbali na kujionea wanyama wa aina mbalimbali na ndege pia warembo hao walipata fursa ya kujifunza juu ya Bonde hilo ambalo lipo katika mchakato wa kuingia katika Maajabu ya dunia.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za warembo hao wakiwa katika Bonde hilo la hifadhi ya Ngorongoro.


No comments: