Saturday, September 15, 2012

WOMEN'S DAY.

HII ITAKUWA NI LECTURE YENYE KULETA CHACHU YA MAENDELEO KUTOKA 
KWA MWANAMKE MWENYE MAFANIKIO..DR.MARIA IDIGO KUTOKA UK,KWENDA KWA WANAWAKE WOTE  WAJASIRIAMALI NA WALE AMBAO BADO HAWAJAINGIA KWENYE UJASIRIAMALI...

KWA WALE WOTE WATAKAOPENDA KUHUDHURIA TIKET I NI TSH.10000...UNAPIGA 0755 012609,0719 159224 THN UNAPEWA MAELEKEZO YOTE.

KARIBU UPATE MBINU ZA KUBORESHA MAISHA YAKO.


VENUE;MAYFAIR PLAZA--MARKHAM HOTEL

No comments: