Tuesday, September 18, 2012

"LULU"ELIZABETI MICHEL NA MUONEKANO WA SASA.........

 

Kama kawaida kipima joto... 
Kupendeza kama kawaida tu......
Pozi tena mbona ninalo ata huku "Lulu"
Kabla ajakaa Lulu aliweka kitambaa ili asichafuke......U re Superstar...
"Lulu" akionekana mwenye furaha ndani ya moyo wake.
 don't take twisted guyz ,Lulu bado yupo jela...!!!!!!!!

No comments: