Wednesday, September 19, 2012

INFORMATION TECHNOLOGY DAY @THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA

NYUSO!!

 Mkuu Luihamu Ringo (katikati) ndani ya shati la kitenge akiwa na wadau Joshy(kushoto)na Abduly (Kulia) nje ya Ofisi za muda Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kabla ya kuelekea kwenye maonyesho ya kitengo cha teknolojia katika Kituo cha Kinondoni.
 Halima Mlacha akikaribisha wageni kuingia katika ukumbi wa Mwinyi 
 Wakiwa na nyuso za furaha Ester (Kushoto) na Halima(kulia) huku nakishnakish za madini zikiwatoa vilivyo.

 Mr.Ishengoma(kulia) akiwa na mwanafunzi  ambae yupo kwa mafunzo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakiteta jambo kabla ya kuanza kwa maonyesho leo.Kitenge nacho kilimtoa ile yenyewe chezea Kitenge wewee...!!!!!!!

Patricia Boshe akiwa ana cheza na kitu cha iPad mkononi hapo ikidhihirisha kweli kuwa leo ni siku ya kitengo cha Teknolojia,Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ikiwa ni Muendelezo wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo tangu kuanzishwa kwake 1992.

No comments: