Sunday, September 9, 2012

CONRATS NOELA MICHAEL...REDDS MISS ILALA 2012

MREMBO WA REDDS MISS ILALA APATIKANA

Miss Ilala 2012, Noela Michael (katikati), akiwa kwenye pozi na mshindi namba mbili Magdalena Roy Munisi (kulia), na mshindi namba tatu Mary Chizi muda mfupi baada ya kutangazwa washindi.
Miss Ilala aliyeachia taji hilo Salha Israel, akikatiza kuaga jukwaani hapo kabla ya kukabidhi rasmi taji hilo.
Mary Chizi akionyesha kipaji chake cha ziada wakati wa kugombea miss Talent ambapo aliibuka kidedea.
Magdalena Roy Munisi akicheza kama msanii wa Marekani … kwenye mchakato wa kugombea taji la kipaji.
Warembo walioingia kwenye tano bora ya shindano hilo.REDDS MISS  ILALA 2012...NOELA MICHAEL

No comments: