Saturday, September 15, 2012

  CONGRATS ZUWENA NASSIB  MISS EXCELLENCE OUT 2012 

 Miss Excellence OUT 2012 Zuwena Nassib akiwa ameshika maua mara baada ya kuukwa umalikia huo katika mpambano ulijaa kila aina ya mashamshamu.
 Miss Excellence OUT 2011 Neema Mtitu akimkabidhi maua mridhi wake Zuwena Nassib mara baada ya kutangazwa Miss Excellence OUT 2012.

Mgeni rasmi Mhe.William Lukuvi ambae ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera,Uratibu na Bunge) na Makamu Mkuu Wa Chuo,Prof.Mbwete wakimkabidhi Miss Excellence OUT 2012,Zuwena Nasib zawadi yake(cheki) mara baada ya kuvikwa umalikia jana usiku.
 Mgeni rasmi Mhe.William Lukuvi ambae ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera,Uratibu na Bunge) na Makamu Mkuu Wa Chuo,Prof.Mbwete na aliyekuwa Miss Excellence OUT 2011,Neema Mtitu wakiwa katika picha ya pamoja na Washiriki walioingia 5 bora na mwishowe kupatikana kwa Mshindi 
 Kazi ilianzia hapa mara tu pazia lilipofunguliwa warembo wakaja na kitu cha Bob Junior-Nichum walichokitendea haki warembo hao kiasi kwamba nikuzipenyeza chin ya kapeti na kumfikishia mtu mzima Bob Junior kama ana tatizo la madensa hapa atapata wa kutosha.
  aaaaaawwwwww........showin' sme bounce bounce.............
    GUESTS

   Bi.Asya As'bah nikiwa na shoga'ngu Amynike Shantalicious  ktk usiku wa Miss Excellence OUT 2012    uliofanyika jana Katika Ukumbi wa Mwinyi Kinondoni.

                                                                Gorgeousss

                     Alipendezaje na animal print.....u rock mamie                                                  Anisa na Daima
                                                            Cutest!!!!!!

Jacque na Ringo wakitabasamu kwa sana !! 
                      

No comments: